Ziara ya Mwenyekiti na Katibu RAAWU Kanda ya Kaskazini katika Shule ya Kimataifa Moshi.
RAAWU Katika utekelezaji wa majukumu yake ya Kila siku wakiwa Katika semina ya uhamasishaji na kuwajengea uwezo wafanyakazi wa Taasisi ya ADEM mwanza.
RAAWU Yawafua WANANCHAMA Wake KUELEWA Sheria na KUJIANDAA Kustaafu!
Sherehe za siku ya Wanawake DUNIANI ambazo hufanyika Kila mwaka tarehe 8 March Duniani kwa Chama Cha Wafanyakazi RAAWU huwa zinaambatana na ufanyaji wa matendo ya Huruma,
Mradi wa TVET ni mradi wa kuongeza ujuzi kwa Vijana ili waweze kujiajiri na kupata nafasi za kuajirika Duniani ambao unatumika kupitia vyuo vya ufundi vyenye matawi ya RAAWU pekee