Researchers Academician And Alied Workers Union (RAAWU)
Sauti ya Wafanyakazi
Kuhusu RAAWU
Maana ya RAAWU
Ni Kifupisho cha "Researchers Academician And Alied Workers Union"
Ni muungano wa Wafanyakazi wa sehemu au sekta husika ya kazi, unaotokana na ridhaa yao wenyewe kwa lengo la kulinda, kutetea haki na maslahi yao. Muungano huu hatimaye hutambuliwa rasmi na mamlaka ya nchi baada ya kusajiriwa kwa mujibu wa sheria na kanuni zilizopo. Kwa Tanzania Sheria namba 6 na 7 za mwaka 2004 ndizo zinayosimamia vyama vya wafanyakazi.
Viongozi wa ngazi za juu
Tuna wajibika kulinda maslahi ya wanachama kwa kuhimiza Serikali kuepukana na
uandaaji wa sera ambazo ni hatari kwao
JANE CLAUDE MIHANJI
MWENYEKITI RAAWU TAIFA
JOSEPH SAYO MWITWA
KATIBU MKUU - RAAWU
SIMON JONAS MBAI
NAIBU KATIBU MKUU - RAAWU
Habari na Matukio
Chama imara cha Wafanyakazi kinachoendeshwa kidemokrasia na kuhakikisha wafanyakazi wanapatiwa
mahitaji yao ya kijamii na kiuchumi.
Ziara ya Mwenyekiti na Katibu RAAWU Kanda ya Kaskazini katika Shule ya Kimataifa Moshi.
RAAWU Katika utekelezaji wa majukumu yake ya Kila siku wakiwa Katika semina ya uhamasishaji na...
RAAWU Yawafua WANANCHAMA Wake KUELEWA Sheria na KUJIANDAA Kustaafu!
Washirika Wetu
Tuna wajibika kulinda maslahi ya wanachama kwa kuhimiza Serikali kuepukana na
uandaaji wa sera ambazo ni hatari kwao
Newsletter Subscription
Mahali Tulipo
Bibi Titi/Sophia Kawawa Street P. O. Box 22532 Dar-es-Salaam Tel: +255-22-2123762 Fax: +255-22-2123762