wawakilishi raawu.jpg
tbs dodoma.jpg
mei mosi dodoma.jpg
previous arrow
next arrow

Sauti ya Wafanyakazi

Kuhusu RAAWU

Maana ya RAAWU
Ni Kifupisho cha "Researchers Academician And Alied Workers Union"

Ni muungano wa Wafanyakazi wa sehemu au sekta husika ya kazi, unaotokana na ridhaa yao wenyewe kwa lengo la kulinda, kutetea haki na maslahi yao. Muungano huu hatimaye hutambuliwa rasmi na mamlaka ya nchi baada ya kusajiriwa kwa mujibu wa sheria na kanuni zilizopo. Kwa Tanzania Sheria namba 6 na 7 za mwaka 2004 ndizo zinayosimamia vyama vya wafanyakazi.

Viongozi wa ngazi za juu

Tuna wajibika kulinda maslahi ya wanachama kwa kuhimiza Serikali kuepukana na

uandaaji wa sera ambazo ni hatari kwao

JANE CLAUDE MIHANJI

JANE CLAUDE MIHANJI

MWENYEKITI RAAWU TAIFA

JOSEPH SAYO MWITWA

JOSEPH SAYO MWITWA

KATIBU MKUU - RAAWU

SIMON JONAS MBAI

SIMON JONAS MBAI

NAIBU KATIBU MKUU - RAAWU

Habari na Matukio

Chama imara cha Wafanyakazi kinachoendeshwa kidemokrasia na kuhakikisha wafanyakazi wanapatiwa

mahitaji yao ya kijamii na kiuchumi.

Ziara ya Mwenyekiti na Katibu RAAWU Kanda ya Kaskazini

Ziara ya Mwenyekiti na Katibu RAAWU Kanda ya Kaskazini katika Shule ya Kimataifa Moshi. 

Read more: Ziara ya...

Semina ya uhamasishaji na kuwajengea uwezo wafanyakazi wa Taasisi ya ADEM mwanza.

RAAWU Katika utekelezaji wa majukumu yake ya Kila siku wakiwa  Katika semina ya uhamasishaji na...

Read more: Semina ya...

RAAWU Yawafua WANANCHAMA Wake KUELEWA Sheria na KUJIANDAA Kustaafu!

RAAWU Yawafua WANANCHAMA Wake KUELEWA Sheria na KUJIANDAA Kustaafu! 

Read more: RAAWU Yawafua...

Washirika Wetu

Tuna wajibika kulinda maslahi ya wanachama kwa kuhimiza Serikali kuepukana na

uandaaji wa sera ambazo ni hatari kwao

Image
Image
Image
Image
Image
Image
Image
Image
Image
Image

Mahali Tulipo

Bibi Titi/Sophia Kawawa Street P. O. Box 22532 Dar-es-Salaam Tel: +255-22-2123762 Fax: +255-22-2123762

KARIBU RAAWU

Makao Makuu

  • Bibi Titi/Sophia Kawawa Street
  • P. O. Box 22532 Dar-es-Salaam
  • Tel: +255-22-2123762
  • Fax: +255-22-2123762
  • Email: info@raawu.or.tz
  • Website: www.raawu.or.tz