Habari

Sherehe za siku ya Wanawake DUNIANI ambazo hufanyika Kila mwaka tarehe 8 March Duniani kwa Chama Cha Wafanyakazi RAAWU huwa zinaambatana na ufanyaji wa matendo ya Huruma, Kama vile kutoa misaada kwa jamii kwa kutembelea wagonjwa mahospitarini, kutembelea wafungwa, kufanya usafi kwenye maeneo mbalimbali ya wazi, utoa Elimu mbalimbali kwa wanachama Wanawake kuhusu masuala ya Jinsia, Afya, ujasili